afya za watumiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  2. Chizi Maarifa

    Je, Anjari ni salama kwa afya za watumiaji hasa huko Tanzania?

    Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa. Swali je kinatengenezwaje? Yaani wanachanganya nini na nini? Je hakina madhara kiafya? TBS huwa wanalala na wale wa chakula na...
  3. JanguKamaJangu

    KERO Miundombinu ya Stendi ya Urambo ni duni, inatia aibu, Vyoo navyo ni hatari kwa Afya za Watumiaji

    Juzi nikiwa katika safari zangu nilipita Urambo, nilipofika katika Stendi ya Wilaya ambapo basi letu lilipita hapo, nilishangazwa na muonekano wa Kituo hicho, kilikuwa ‘too local’, mazingira yake sio mazuri na ukweli hali hiyo inasikitisha. Tulishuka na wenzangu kadhaa na kwenda kwenye vyoo vya...
  4. advocate91

    KERO Vyoo vya IFM ni vichafu sana, vinahatarisha afya za watumiaji

    Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
Back
Top Bottom