Je, huwa unajisikia kuchoka? Wivu? Kama vile haufai au maisha yako sio bora kama ya wale unaowaangalia kwenye mitandao ya kijamii? Hauko peke yako. Hayo ni madhara machache kati ya mengi ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwenye afya ya akili. Mitandao ya kijamii tunaipenda, inatusaidia kupoteza...