africa ya kusini

The Southern African Development Community (SADC) is an inter-governmental organization headquartered in Gaborone, Botswana.

View More On Wikipedia.org
  1. Utajuaje kama una laana?

    Laana ni nini? Kwa mujibu wa Biblia laana ina maana kadhaa wa kadhaa ikiwa ni pamoja na; 1. Kuwa na maisha yasiyo zaa 2.Kutambaa (kuwa na hatua hafifu kwenye maisha) 3.Kufa, hapa namaanisha kifo cha mwili au kuishi maisha kama mfu. Au kuishi mahali ambapo kila kitu kimekufa. 4.Kuzaa watoto...
  2. Elon Musk: Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi Africa ya Kusini kwa sababu mimi sio mtu mweusi

    Elon Musk ameendelea na mvutano wake dhidi ya serikali ya Afrika ya Kusini kwa kusema kuwa kampuni yake ya Starlink haijaruhusiwa kufanya kazi nchini humo kwa sababu yeye sio mtu mweusi https://x.com/elonmusk/status/1897954924337467555?t=qQO2IGVFCzGBWI1Vh-_Ofw&s=19
  3. M

    Kafulila: Kwa Utafiti uliopo ndani ya miaka 25 ijayo Tanzania italazimika kujenga uchumi sawa au zaidi ya Afrika ya Kusini ya leo

    === Akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds Media Group Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPP -Centre David Zacharia Kafulila alikuwa na haya ya kusema ;- "Tafiti zilizofanyika zilionesha kwamba mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo yalijitosheleza kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…