Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Songwe Adeni Mwakyonde amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania ubunge katika Jimbo la Tunduma.
Mwakyonde amechukua fomu hiyo tayari kuchuana na Mbunge wa Jimbo hilo na Naibu Waziri wa Kilimo anayaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.