Waziri wa Afya wa Kenya Aden Duale, ameamuru kusitishwa mara moja kwa ujenzi wa kituo cha karantini ya ugonjwa wa Ebola kinachofadhiliwa na Marekani katika kambi moja ya jeshi Nanyuki iliyopo county ya Laikipia ambako kumeshuhudiwa maandamano makubwa yaliyosababisha vifo kupinga mpango huo...