Sema kuna muda hawa ACT wanapenda sana drama.
Hivi kweli unaaanda press then unaanza kuwaambia waandishi kwamba CCM ianze kujishughulikia wenyewe? Hawa wataweza kweli zile "siasa za mapambano" ambazo huyo Othman alikuwa anazizungumzia?
=============================================
Chama cha...
“Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa...
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Wakuu,
Kunazidi kufurukuta, moshi unaongezeka!
====
Wakati kitendo cha kuzuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za nchi hiyo kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na mwenzake wa Chadema, Tundu Lissu kukizua mjadala, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kitendo cha kuzuiliwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, kuingia nchini Angola, ambako alipaswa kushiriki mkutano muhimu kuhusu masuala ya demokrasia.
Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo, CHADEMA imesema kuwa mbali na...
Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
Wakuu,
Mambo yametokea huko, ngoja waseto waje watueleze kunani! Au CCM ndio imepiga pini 'No Reforms No Election' isipate nguvu wakaanza kushawishiwa kupokea mabadiliko?!
=====
Msafara wa viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu uliosafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.