act-wazalendo

The Alliance for Change and Transparency (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots'), sometimes known as the ACT–Wazalendo, is a left-wing political party in Tanzania. It is the third-largest party in the National Assembly of Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka Aondoka Rasmi ACT-Wazalendo

    Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X: "Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI...
  2. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yabwagwa tena mahakama ya rufani mapitio ya ukokotoaji INEC wa Viti Maalum

    Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo iliomba mapitio(Judicial Review) Mahakama kuu ikipinga ukokotoaji INEC wa Viti Maalum, baada ya kufungua shauri Wabunge wa Viti Maalum wa CCM waliomba kuunganishwa kwenye shauri hilo kwa kile walichoeleza kuwa wanamaslahi yanayoweza kuathirika kutokana na shauri...
  3. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanapokea Wanachama Wapya muda huu

    Fuatilia hapa Hafla ya Kupokea Wanachama Wapya wa Vyuo Vikuu wa chama cha siasa cha ACT-Wazalendo, leo Juni 14, 2026, inayofanyika katika Jengo la Maalim Seif, Magomeni, Dar es Salaam. Viongozi Wakuu: Ado Shaibu (Katibu Mkuu) na Abdul Nondo (Mwenyekiti Ngome ya Vijana Taifa)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…