Access Bank Plc, commonly known as Access Bank, is a Nigerian multinational commercial bank, owned by Access Bank Group. It is licensed by the Central Bank of Nigeria, the national banking regulator.
Originally a corporate bank, they expanded into personal and business banking in 2012. Access Bank and Diamond Bank merged on April 1, 2019. In conclusion of its merger with Diamond Bank, Access Bank unveiled its new logo, signalling the commencement of a new enlarged banking entity. The bank employs more than 28,000 people in 2021.
After the merger, with more than 42 million customers, Access Bank became the largest bank in Africa by customer base, and the largest bank in Nigeria by assets.
Kwanza sijui nani alimpa namba yangu. Nahisi HR aliuza mechi. Okay sawa.
Anatuma msg nyingi nyingi na hazipo ki professional kabisa. Tena kwa namna tofauti tofauti, sasa inapelekea tuhisi ni matapeli.
Access bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei.
BoT wanahitajika hapa ili wananchi waendelee kupata huduma kama kawaida.
Cha ajabu zaidi hawatoi support yoyote wala taarifa.
Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'. Uwekezaji wa Selcom unaifanya benki hiyo kufikisha mtaji wa zaidi ya Sh 8.6 bilioni.
Kampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.