abdallah chaurembo

Abdallah Jaffari Chaurembo ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi CCM.

Kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Chamazi mkoani Dar es Salaam kwa kipindi cha 2025 hadi 2030, baada ya uchaguzi mkuu wa 2025.

Kabla ya hapo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Mbagala kuanzia 2015 hadi 2025, kabla ya mabadiliko ya mipaka yaliyozaa jimbo la Chamazi.

Pia aliwahi kuwa Meya wa Manispaa ya Temeke kuanzia 2015 hadi 2020, na kabla ya hapo alikuwa Diwani wa Kata ya Charambe.
  1. Waufukweni

    GE2025 Mgombea Ubunge Chaurembo afanya mazoezi na vijana wa hamasa, Jimbo jipya la Chamazi

    Wakuu, huu ndiyo msimu wa miujiza kila kitu kinawezekana! 😂 Eti sasa Mgombea Ubunge Abdallah Chaurembo, kageuka mwongoza mazoezi kwa vijana wa hamasa Chamazi. Kwanini haya mazoezi ya uzalendo hayafanyiki mara kwa mara kabla ya Uchaguzi?, ila muda wa kampeni ghafla tunaona? Soma: Mbunge...
Back
Top Bottom