Sayyid Abbas Araghchi (Persian: سیّد عباس عراقچی, pronounced [ʔæbˌbɒːse æɾɒːˈɢtʃi] ; born 5 December 1962) is an Iranian diplomat and politician, who is the Minister of Foreign Affairs of Iran since August 2024. He previously served as the Spokesperson for the Ministry of Foreign Affairs and as Ambassador to Finland and to Japan.
Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi:
"Tunasubiri kusikia misimamo ya upande wa Marekani kesho. Ikiwa hawatawasilisha maombi yasiyo na maana, yasiyo ya kweli na yasiyotekelezeka tutajiondoa lakini kuna uwezekano kwamba tutafikia makubaliano."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.