Abas Tarimba (anayejulikana pia kama Tarimba Gulam Abbas au Abbas Tarimba) ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Yeye ni Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Dar es Salaam, akichaguliwa kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kisha uchaguzi wa Oktoba 2025.
Kama mbunge, Tarimba ni mchangiaji wa mijadala ya bunge, mara nyingi akitetea chama chake CCM
Kabla ya siasa Tarimba aliwahi aliwahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Walezi wa Young Africans Sports Club (Yanga SC) na Mkurugenzi Mkuu katika taasisi kama Gaming Board of Tanzania na SportPesa Tanzania.
Ana elimu ya sheria (LLB kutoka Tumaini University) na aliwahi pia kuwa mwaandishi wa habari.
Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam.
Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya maendeleo yao.
Akihutubia wananchi wa Kata ya Hanasif katika kampeni zake leo Septemba 19, 2025, Tarimba amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.