Azam TV kuonyesha EPL mambo yakiwa mazuri

Azam TV kuonyesha EPL mambo yakiwa mazuri

kalemauji

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
1,620
Reaction score
1,831
Naibu mtendaji mkuu wa azam tv ndugu Tido Mhando amesema kuwa wako katika maongezi ya kuridhisha na bodi ya ligi ya Uingereza ili kuweza kuonesha matangazo ya mpira ya ligi kuu Uingereza pamoja na La liga ya hispania .
 
Azam anafanya mambo ya uhakika tu! Akitoboa hapa ameua DSTV east Africa nzima na kujenga brand recognition kubwa- the man who slew the giant.
 
Mmmh...mbn kn uzi humu wa Star times nao wanataanza kuonesha hiyo ligi ya epl..kwa sasa wanaanza na bundesliga?..ila mwenye KISU KIKALI KULA NYAMA..
cc@StarTimes Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Mmmh...mbn kn uzi humu wa Star times nao wanataanza kuonesha hiyo ligi ya epl..kwa sasa wanaanza na bundesliga?..ila mwenye KISU KIKALI KULA NYAMA..
cc@StarTimes Tanzania

I can see what Bakhresa and co are thinking about right now, to rival DSTV in the Southern region of Africa, though it is going to be a fierce battle as DSTV is a well established media company in Africa. Azam media group has to pull a China, providing cheap services to their customers. That is how they will win the battle.
 
Cheap is the keyword. Provide a cheap platform airing EPL the rest is history.
 
Ofcourse Dstv atashinda hiyo tenda
 
mm nasubiri siku watakapofanikiwa. tena siyo kwa kuchaguliwa gem kama enzi zile za tbc, siku kuna big match mnaoneshwa westham vs sunderland. ila naamini wakijitahd miaka 5-10 ijayo wataweza
 
Kama itakuwa hivo nanunua cha pili,maana hiki tutasukumana na shemeji yenu.
 
Uwezekano wa kupata sio ishu sana anaomba kibali kwa kutumia afrika mashariki na ndo maana wanasema watatumia lugha ya kiswahili
 
Hizi ni tetesi au? kama mpango kweli unafanyika nadhani watakuwa na dili kubwa sana ktk ukanda wetu.
 
Back
Top Bottom