mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Okay wadau kama mnakumbuka previous niliongelea launcher ilikua inaitwa "SOLO LAUNCHER" kama ilikupita kaitazame hapa
Furahia simu yako hapa
...
Okay leo nawaletea launcher ingine matata sana na kama kawaida kasim kangu kalekale y300-100 kitatumika kama tester ila yeyote mwenye sim ya aina yoyote inayorun version 4.0 and above anaweza enjoy...
Launcher ya leo inaitwa "(IO-LAUNCHER) ipakue hapa
www.appsapk.com/io-launcher/
Launcher hii kitu nimeipenda ni kwamba imechanganya OS mbili ambazo ni 1) lollipop android 5 na 2) ios 8 na kuipa sim yako mwonekano matata sana
* kwanza launcher hii inaipa sim coll setting shortcut. Ukianzia ndani ya notification bar(after expanded) na kwenye default home screen na pia inakua na side bar
.
*imepakiwa na great ama naweza sema good looking interface pamoja na ivon pack flani amaizing (in platnumz tone)
* iko na its own battery server app pamoja na iboost
*gestures pia asee ni umcharo zaid kama yqngu nimeset nikiwa home screen nikiswipe kidole chini inafungua instagram nikiswipe juu inafunguka whats app
Pamoja na kua na in app purchase nyingi ila nakuhakikishia free package zilizopo ni enough kabisa
Asanten na karibun tena soon ntawaletea ingine
Furahia simu yako hapa
...
Okay leo nawaletea launcher ingine matata sana na kama kawaida kasim kangu kalekale y300-100 kitatumika kama tester ila yeyote mwenye sim ya aina yoyote inayorun version 4.0 and above anaweza enjoy...
Launcher ya leo inaitwa "(IO-LAUNCHER) ipakue hapa
www.appsapk.com/io-launcher/
Launcher hii kitu nimeipenda ni kwamba imechanganya OS mbili ambazo ni 1) lollipop android 5 na 2) ios 8 na kuipa sim yako mwonekano matata sana
* kwanza launcher hii inaipa sim coll setting shortcut. Ukianzia ndani ya notification bar(after expanded) na kwenye default home screen na pia inakua na side bar
.*imepakiwa na great ama naweza sema good looking interface pamoja na ivon pack flani amaizing (in platnumz tone)