Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
Shamba liko Bagamoyo.km 3 toka barabarani linaheka 8.
Heka 1milion 8 na nusu bei inapungua kidogo kwa alie serious anichek 0654160092
 
Shamba liko bagamoyo.km 3 toka barabarani linaheka 8.
Heka 1milion 8 na nusu bei inapungua kidogo kwa alie serious anichek 0654160092

this price is crazy... too much aisee kwa bagamoyo
 
Liko karibu na barabara pia liko karibu na daraja la bunju sio bagamoyo kabisa na linakisima kilichochimbwa kwa machine
 
Daraja la bunju ndo linalotenganisha
 
Shamba liko bagamoyo.km 3 toka barabarani linaheka 8.
Heka 1milion 8 na nusu bei inapungua kidogo kwa alie serious anichek 0654160092
Mwanafalsafa Mmoja alishawahi kusema kua "UJINGA NI KUFANYA KITU HICHO HICHO KWA KUKIRUDIA RUDIA HUKU UKITEGEMEA KUNA WAKATI KITAKUJA KUTOA MATOKEO TOFAUTI NA UNAYOYAPATA MWANZO".

Sijadhamiria kukuita mjinga ila nahofia tu usije kuingia huko. Hii ni kama Mara ya tatu unalitangaza hili shamba. Kuendelea kurudia rudia thread ni ishara tosha kua halipati wateja!!

Na halipati wateja sababu ya hizo bei za tamaa. Sioni factors za kufanya shamba liuzwe Tshs 8,000,000/- kwa heka kwa hayo maeneo. Hata kama lina kisima hakifiki hiyo bei. Haieleweki ni zao gani litalimwa hapo kama shamba irudishe hiyo hela.

Na kama ni prime area kwa viwanja basi ungepimisha viwanja uviuze ijulikane moja.

Ukifuata huu ushauri utakufaa. Na ukiupuuza basi tukutegemee tena kukuona next time ukija na same tangazo,same price.
 
Shamba liko Bagamoyo.km 3 toka barabarani linaheka 8.
Heka 1milion 8 na nusu bei inapungua kidogo kwa alie serious anichek 0654160092[/QUOTE

Mkuu vo bei aipungui? Me nataka heka moja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom