Simu inauzwa kwa bei nafuu.

Simu inauzwa kwa bei nafuu.

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
1,781
Reaction score
6,138
Habari. Nauza Samsung Galaxy Pocket yangu. Ipo Vizuri na kila kitu kipo, kwa bei ya Laki 1 na elfu 20 tu (120k).
Nipo Mwanza, 0756851815.
 
Attachments

  • IMG-20131127-WA0008.jpg
    IMG-20131127-WA0008.jpg
    36 KB · Views: 217
punguza aisee, nipo mwanza leo na kesho
sababu ya kuuza ni nini?
na je betri yake inakaa mda gani?
 
punguza aisee, nipo mwanza leo na kesho
sababu ya kuuza ni nini?
na je betri yake inakaa mda gani?

Kwa maelewano zaidi nicheki kwa hiyo namba yangu whatsapp.
Sababu ya kuuza ni dharula ya shida ya ghafla. Simu ipo poa na betri linakaa kwa siku 2 ukitumia whatsapp/JamiiForums/Facebook/Twitter etc.
 
Mkuu ukiwa busy na hayo makitu bado inakaa siku mbili?

Hiyo kiboko.
 
Kwa maelewano zaidi nicheki kwa hiyo namba yangu whatsapp.
Sababu ya kuuza ni dharula ya shida ya ghafla. Simu ipo poa na betri linakaa kwa siku 2 ukitumia whatsapp/JamiiForums/Facebook/Twitter etc.
Khaa!! wenyewe waliotengeneza wanasema betri yake yenye 1200mAH inakaa kwa masaa sita tena kwenye 3G :shocked:
 
Tusiandikie Mate na wino ungalipo. Ichukue hii simu ndo utaona nilikuwa ninamaanisha nn.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom