MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,741
- 1,006
Najptisha uch uch karbu na chumba chake ila mshkaj kazuzu hata hanipgsh sound, nampikia, nampelekea maji bafuni, kumfulia, namletega zawadi na haitosh nimewah mpaka kulala kwake jamaa hakunigusa, eti anasema mi dada yake. Mi namtaka jamani.
Nifanyeje?
Nifanyeje?