Habari za leo humu ndani,hii ipo kweli japo itaonekana kama ni jokes

Habari za leo humu ndani,hii ipo kweli japo itaonekana kama ni jokes

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,775
Reaction score
15,129


HUWA NAJIULIZA SANA,TENA SANA HAPA NAPOISHI,,

KWANINI JAMAA KILA ANAPOENDA TOILET HUWA INA MCHUKUA MDA MREFU SANA KUKAA HUKO?

KILA ANAPOENDA KUITIKIA WITO MKUBWA i.e haja kubwa (kum'radhi),AKIRUDI MACHO HUA YANAONESHA KUWA NA ISHARA YA MACHOZI??

NI KWA NIN?HUWA ANAPATA CHOO KIGUMU AU ANAJISKIA UTAMU KWA ZOEZ LILE??

JION NJEMA

:biggrin1: :biggrin1:
 
Usiwe mvivu muulize ili utulize mtima
 
usiwe mvivu muulize ili utulize mtima


yahitaji moyo kumwingia mtu mzima mwenzio kwa maswali ya namna hiyo face to face

isije kuzusha tafrani bure
lakini ni kweli kabisa hii.
 
Kula ugali wa ulezi nadhani jibu litakua rahisi sana!
 
nmecheka mpaka nmepaliwa na juice...dunia ina wadudu hii
 
Mkuu mshauri anywe oil nusu lita kila asubuhi, inaonyesha mashine tumbon inashindwa kuyeyusha msosi vema kutokana na kukosa vilainishi.
 
Back
Top Bottom