Search results

  1. M

    Bodi ya mikopo mambo yameiva muda wowote kuanzia siku ya leo mambo yatakuwa hadharani

    kwa sasa watu wengi wanasubiri mikopo kwa hamu kubwa,wengi wao wana umri mkubwa kuliko wewe sasa sio vyema kuwadanganya na kuwarusha roho kiasi hicho.siku zote taarifa zako zimekua hazina tija kabisa.muungwana asipokua na la kusema huwa ananyamaza tu na kusikiliza wengine,sio lazima kuandike...
  2. M

    tafadhali wale tuliochguliwa kwenda sua tukutane!

    poa kaka nashukuru sana maana nilikua na wasiwasi!
  3. M

    Kwa mliochaguliwa sua

    jamani mie nimekua admitted sua lakini jina langu halipo kwenye website ya sua,inakuwaje hapo wadau?
  4. M

    tafadhali wale tuliochguliwa kwenda sua tukutane!

    jamani mbona mie nimekua admitted hapo sua lakini jina langu halionekani kwenye website ya sua,au tcu ilikua danganya toto?tafadhali wale wanaojua lolote tutoane wasiwasi
  5. M

    Kwa mliochaguliwa sua

    kaka hivi kwenye website ya sua wametoa selected applicants kama vyuo vingine?
  6. M

    Bodi ya Mkopo

    mwana unanipa presha kinoma,acha basi tusubiri
  7. M

    tcu tcu tcu

    mbona mnazingua tu kila siku kalenda,sasa mtuambie hizo selection za vyuo mnatoa lini ili watu wajipange
Back
Top Bottom