tafadhali wale tuliochguliwa kwenda sua tukutane! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tafadhali wale tuliochguliwa kwenda sua tukutane!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by makferoo, Sep 8, 2012.

 1. m

  makferoo Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mbona mie nimekua admitted hapo sua lakini jina langu halionekani kwenye website ya sua,au tcu ilikua danganya toto?tafadhali wale wanaojua lolote tutoane wasiwasi
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kuna wenzako wengi wenye tatizo kama lako na waliomba msaada direct to tcu wakaambiwa majina yatakua updated vyuoni wakisha publish majina yote officially kwahiyo usiwe na wasiwasi
   
 3. m

  makferoo Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa kaka nashukuru sana maana nilikua na wasiwasi!
   
Loading...