Search results

  1. Eriglo

    WALE WA MKWAWA UNIVERSITY a.k.a MUCE a.k.a CHUO KIKUU TUSOMANE HAPA.

    Hostel inakuwaje huko? Na room za kupangisha zipo?
  2. Eriglo

    Kwa yeyote anayesoma Mkwawa University.

    Ninaomba unisaidiye kujibu yafuatayo: 1. Ikiwa nimepata loan 100% ninatakiwa niende na kiasi gani wakati wa usajili? 2. Je, kuna vyumba vya kupangisha karibu na chuo?
  3. Eriglo

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    Rafiki yangu unahitaji kujua yafuatayo. 1. Mitihani mingi ya Tanzania inapima fitness ya mtu ya siku moja kwa ikiwa mtahiniwa atakuwa unfit siku ya mtihani ndiyo basi. 2. Mtu kufeli mtihani siyo kwamba amefeli kila kitu kwenye maisha. 3. Chuo ni level tofauti sana na sekondari, mtu anapimwa...
  4. Eriglo

    Helsb

    Kwenye page ya helsb kuna majina ya watu ambao forms zao zina mapungufu.
  5. Eriglo

    Fake selection 2012/13

    Hm!! sidhani kama majina yote hayo 6000 ni feki
Back
Top Bottom