Search results

  1. M

    Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Hebu tufafanulie wanajamvi hiyo sakata , ndo tunasikia mkuu. Ila jina lipo kwenye lisit hii.
  2. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Kama swali la Aweda liko nje ya mada wewe urudiage shule tu. Hanaga namna nyingine ya kukusaidia.
  3. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Ni kweli aligeuza marais wa nchi hiyo. Rais aliyestaafu alimtaja kama rais wa sasa na Rasi wa sasa akamtaja kama Rais mstaafu.
  4. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Kwangu mimi kampeni ya 2015 siyo tatizo, tatizo langu ni uhai wake kabla ya 2015 utakuwa salama kwa mwendo huu. Ubunge si haki yake ya kikatiba. Ndo maana nikashauri apunguze kasi. Wanaweza wakamLWAKATARE AU kumbambikia kesi tesha kama akina Kileo na wenzake.
  5. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Hivi akina Dr Slaa, Mnyika, Lema, Msigwa, hawa akina Ben Saanane na Mikael Aweda wanaoibukia wakiwa waoga kama wewe, nchi hii si itauzwa jumla?
  6. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Mbulu au Hapa hapa Dar? Aweda si mwenyekiti wa Jimbo mmojawapo hapa Dar?
  7. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Yule mzuri mweusi kidogo jina la pili anaitwa Cosmas, wadada wako 2 tu. Siyo fatma Almasi Nyangasa. Mara nyingi yuko Redio one.
  8. M

    Kufurika viongozi wafanyabiashara CHADEMA; hii ina jenga picha gani kwa chama?

    Hawa ndio wana ccm ambao siyo matajiri, Yusuf Manji, Naziri karamangi, Mbunge wa Rorya airo, Mbunge wa babati vijijini, Kinana - mwizi wa pembe za ndovu. wabunge kibao, mawaziri kibao. Huna aibu.
  9. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Jana Aweda alinifurahisha sana kwenye ile kipindi yao ya malumbano ya hoja ya kwenye ITV kuliko mtu mwingine yeyote. Mada ilikuwa inasema, MADAWA YA KULEVYA KUANGAMIZA VIJANA WETU NA WATANZANIA, NINI KIFANYIKE? Kamanda wangu Aweda aliibua bifu la Reginald Mengi na Godrefy Nzowa. Nzowa alikuwa...
  10. M

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    ccm mnajichanganya sana mara lowasa gamba mara lowasa msafi. Kazi kwenu.
  11. M

    NewYork Times: Violent Episodes Grow in Tanzania, an African Haven

    Kinana mwizi wa pemebe za ndovu hana hadhi ya kunukuliwa na magazeti yenye heshima kama hayo.
  12. M

    Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Kwanza mwulize, nani kampa mwanadiwani haki ya kuwa msemaji wa Mwigulu kwa kila kitu? sisi tunataka mwigulu aje, yeye anajipendekeza nini?
  13. M

    Speech za Idd Amin Dada: Andaa spea za mbavu zako!

    Halafu tusivyojiamini utakuta viongozi wengi wa jeshi walioenda shule walikuwa wanatekeleza amri zake. Afrika iko kazi.
  14. M

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Mbona hoja ya kuisifia CCM na ujenzi wa miundo mbinu haizungumzwi? Au haina jibu? Dawa ya kosa ni kutubu siyo kuficha. kwa akili ya Mbuni tutaendelea kuwa wapinzani daima dumu. Mimi siko tayari kwa hilo. Bosi wetu alichemka.
Back
Top Bottom