Search results

  1. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Nafaham watu wameitwa on 23 July....Jiandae na Interview kijana achana na hao waliozoea kubebwa
  2. TOINYO

    Watu zaidi ya 2,000,000 wamesaini petition kuhitaji kura za maamuzi ya Uingereza kujitoa EU zirudiwe

    Wanazinguamm.Second chance ya nini?. Mtoto akililia wembe mpe!
  3. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Umeambiwa unaanza kazi au unatakiwa uingie kwenye Mafunzo?. Kama mafunzo anza kuaga kabisa kunyumba maana watu wana masomo Saba semester ya kwanza. Suruali lazima zikupwaye!
  4. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Reyro upo wapi ???
  5. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Wote wapo buana......
  6. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Ndio sisi buana tukapiga na nsosi buana
  7. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Sijataja mimi nimekumbushia tu!!
  8. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Aisee wewe REYRO tayari ushapata. Kama upo karibu baadae ukitoka kwa wale WAHINDI wanaokupigisha DEKI uje mitaa ya Kijitonyama.
  9. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Jamaa wana mbwenbwe sana...tunapimwa kama wacheza mpira!. Badala watusome Saikolojia waone kama ni majipu au laaa wameshikilia CT Scan sijui ushuzi gani.....na majibu wabaki nayo wenyewe mimi wanipe ofisi na meza tu na kule CRDB mzigo uwe unatiririkaa
  10. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Nishapwiga chai yao, eti wanasema tupwime na UKWIMWI.
  11. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Koma we jamaaa....!!!
  12. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Niliapply na nimeitwa Post ya Asst Tax Officer
  13. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Wakuu Custom tayari. Mimi leo nilifuata barua yangu ya Asst Tax, nikakutana na jamaa yeye ana barua ya Custom na anasema alipigiwa simu tangu Jtatu. Sina ushahidi mwingine.
  14. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Inaweza kuwa na Ukweli. Mi waliuliza 'When will you be available if TRA wants you' nikatiririka kuwa at any time T. Na walivyonianbia we need to hear about you starting from College nikavurumisha madude weeeee sikusema kama nina sehem ya kuzugia. Wanangu wawili wapo Auditing firm, walifunguka...
  15. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Bado hawajamaliza. Hakikisha simu yako ina chaji ya kutosha!.
  16. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Jamani mlioenda kuchukua Barua zenu tuambieni tunaenda na vitu gani?. Mi nataka nibebe na Begi la nguo kabisa, Si wanaanza na kutoa hela ya nauli au?.
  17. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Nimeitwa kwa Ass Tax Officer.
  18. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Sasa hapa nimeamini. Nimepigiwa simu muda si mrefu. Namba hii hapa 0222117327 mdada anasema Mafunzo yanaanza tar 16 May Jtatu chuo cha Kodi. Tafadhali kama unaenda Toi beba simu yakoooo ....... Mungu anisaidie nisiende kuwa Jipu.
  19. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Sio kweli, mbona mimi sijaitwa bado ????
  20. TOINYO

    TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Ukisikia Paaaah, ujue imekukosa!
Back
Top Bottom