Search results

  1. Kocha

    Kwanini TPDC wanalipwa mshahara mkubwa kiasi hiki?

    Acha ujinga wewe kwa kuleta taarifa ya uongo hapa jukwaani. TPDC kwa mtumishi anae anza kazi hapati kiasi hicho cha mshahara ni uongo na isitoshe TPDC wanalipwa mshahara moja kwa moja kutoka Hazina kwahiyo tafuta taarifa utajua ukweli,lakini acha kupotosha jamii. JamiiForums futeni hii thread...
  2. Kocha

    Rais afanya teuzi za Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

    Nafikiri mpaka muda utakuwa umeshapata jibu kwanini tuliomba CV ya yule mteule asiekuwa na sifa
  3. Kocha

    Rais afanya teuzi za Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

    Msaada tafadhali unaweza kuweka link tukatazama CV yake huyu Mkurugenzi mpya?
  4. Kocha

    Familia ya Lissu yagoma ombi la Serikali, yasema hawataomba msaada huo wenye masharti

    Stahiki yake kama Mbunge,yani ofisi ya Bunge inapaswa kugharamia matibabu kwa mbunge yoyote anaepata matatizo ya ugonjwa hili suala halihitaji mjadala ni stahiki za mbunge Hapa tatizo ni chuki tu ndiyo imetawala, maama kama ingekuwa ni mbunge wa ccm amepata hayo matatizo basi wala mjadala...
  5. Kocha

    Acheni kumshambulia Rais Magufuli personally, tumpe moyo!

    Kamwe siwezi kumpa moyo mtu mjinga anae ligawa taifa,kwa kuleta chuki,uonevu wa kubomoa nyumba za raia wake na ubaguzi wa wazi wazi
  6. Kocha

    IRINGA: Mbunge Peter Msigwa akamatwa na Polisi baada ya kumaliza mkutano wa hadhara

    Jeshi la polisi linajidhalilisha mno,yaani kumkamata mtu mmoja tena Mbunge,eti wamwkwenda na magari zaidi ya matatu hapo hakuna lolote hizi zote ni mbinu chafu za kudhohofisha upinzani Iringa Mjini,na huu ni mkakati wa chama cha kijani kujiandaa kupora jimbo la Iringa Mjini.
  7. Kocha

    Nyalandu kumjulia hali Lissu: Aitwa kwenye kikao cha Maadili cha chama kujieleza

    Kila siku mimi huwa najiuliza swali hili lakini sasa naweza kujiaminisha huyu si mtanzania kwasababu ya mambo anayofanya na tabia alizonazo
  8. Kocha

    Dr Magufuli escapes key international events

    Hata akienda kuhudhuria hio mikutano ya UN na akazungumza kiswahili ndani ya mkutano bado atazungumza pumba tu kama kawaida yake.
  9. Kocha

    CCM muombeni Mh Rais aongoze kipindi kimoja tu apumzike

    Yaani kila wakati ni kuongea pumba tu,huyu lazima aliugua ugonjwa wa akili utotoni
  10. Kocha

    Balozi atamani kumpeleka Rais Magufuli Marekani kwa wiki tano

    Tatizo ni maarifa kichwani,maana unadhani atazungumza nini cha maana?Rais wa China hafahamu kuzungumza English,lakini ana maarifa ya kutosha kichwani
  11. Kocha

    Rais Magufuli: Kwenye vita huwezi kuwa msaliti, halafu ukawa una-survive tu

    Hivi huyu Mwanyika......najaribu kuunganisha na kiongozi wa Barrick/Accacia jamaa anaitwa Deo Mwanyika,je ndio huyu anaetajwa kwamba aliombwa data?
  12. Kocha

    Inawezekana kweli kuna deal haramu (kwa mujibu wa UN) la silaha kati ya Tanzania na North Korea?

    Duh.....hatari sana lakini nimejaribu kuangalia hii habari kwenye magazeti yetu hapa nyumbani sijaiona nadhani wanaogopa kuiandika
  13. Kocha

    Ufichaji wa wajumbe kwenye mazungumzo na Barrick upande wa Tanzania kuna manufaa yoyote?

    Mzee hao wa Barrick angalau tumewaona sasa tunataka japo tuwaone na watu wa kwetu
  14. Kocha

    Ziara Ya Rais Magufuli Pwani: Yaliyojiri kutoka Viwanja Vya Bwawani Kibaha Mjini

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Kocha

    CCM yajiandaa kuua upinzani

    Wabunge wa upinzani wanaweza kupeleka hoja bungeni kudai tume huru ya uchaguzi lakini kwa bunge hili lenye uwingi wa ccm hili suala halitokuja kukubalika asilani Labda siku ambayo Mwenyezi akipenda
  16. Kocha

    CCM yajiandaa kuua upinzani

    Hivi unadhani ccm wako radhi kukubali tume huru? Thubutu
  17. Kocha

    Makamu wetu wa Raisi aongoza Kikao Dodoma!

    Kumbe Mheshimiwa Mwigulu Nchemba yupo nchini mimi nilidhani amesafiri
  18. Kocha

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Hii ni vita ya kisiasa ,mimi siamini Mbowe awe mjinga kiasi hicho awe anajihusisha na madawa ya kulevya
Back
Top Bottom