Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Pwani akisoma tamko la mkoa kuhusu hali ya kisiasa iliyojitokeza na sintofahamu kupitia mamluki wanaojiita Wanachama wa Chadema kutoa matamko yanayokinzana na mwenendo halisi wa chama kwa kutumiwa na mamluki waliofukuzwa ndani ya...
Tena sio hisia tu hizo ni hisia mgando zilizokosa maono na uchambuzi yakinifu kwa maana ya kuongea kwa mihemko ila kumbukeni tu CDM ni taasisi hivyo ina kanuni na taratibu zake katika kujiendesha.
nazani tufike mahala tuwe na mioyo ya kibinaadam sheikh ponda kama wengine ni binaadam kama wengine serikali inashindwa nini kukaa meza moja na ponda na kusikiliza madai yake na kuyafanyia kazi ama kujibu hoja zake nini shida kwa serikali haipendi kuwaona waislamu wakiwa na chombo chao huru...
Hakika wengi hawamjui sheikh ponda zaidi ya kusikiliza propaganda chafu zinazoenezwa juu yake ila serikali ina haki ya kutambua wakimpoteza ponda leo watazaliwa kina ponda 100,000 kwa mwaka hadi watakapokuja tambua na kuwaacha waislamu wajisimamie wenyewe kama zilivyo dini nyingine.
Jamani mbona maelezo yanajieleza au ndio huwa twachangia bila kusoma mada imeanzia wap wap kosa katika hili hadi tuwalaumu na wabunge wa chadema maana washasema wakati magamba wanapitisha hili wao walikuwa Mkoani arusha wakishiriki mazishi ya wananchi waliolipuliwa na ahhh sijui nan yule sasa...
polen walimu hao ndo viongozi wenu wajanja wajanja na serikali iliyoshindwa kuwasaidia wananchi wake kwa kupenda kukimbilia mahakaman kulinda udhalimu wao poleni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.