kama unaamini wewe ni mwema then silent is the best weapon,talking to public means you have fear inside you and your worried what others think about you.itaonekana unajisafisha.
halafu watu tumekuwa tukitoa maoni mengi ila maoni yetu hayawi implemented na serikali its like tunajifurahisha kuongea and actions are not there at all.
ubabe unasaidiaga saa nyingine,unajiona unaonenewa lakini mwisho wa siku maendeleo yanaonekana,tatizo wabongo hatuwezi kuwa na uongozi wa kibabe kwani tunaoneana huruma na aibu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.