Search results

  1. S

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    Hayo ya hela sina uhakika, ila ajira ya mkwe wake ni kweli. Ila kwa sasa hayupo AU tena, alibadilishiwa ajira. Huyo binti alimaliza Law UD mwaka 2000 kama sikosei
  2. S

    Ahsante wana JF

    Mike na Mac, pole zangu kwa walioteswa bila sababu na laana zangu kwa wale waliojaribu kuteka uhuru wa JF. Nimeamini kuwa pen name inalipa, laiti waJF wangekuwa wanatumia majina yao, mambo yangekuwa mengine sasa hivi Sebene linaendelea
  3. S

    Lowassa anasafishwa!

    Hii habari ina ukweli sana tu. Maana mienendo ya magazeti inajionyesha. Maro ooh mtabiri katabiri nini maro lile. Hizi ni dalili kuwa JK anawaza kumrudisha kundini kondoo wake aliyejitosa porini. Lowassa hasafishiki hata kwa magadi na chlorine! Kwako JK; ni vizuri nikuonye kama mtu mzima...
Back
Top Bottom