Search results

  1. Arabela

    Miss chit chat oyeee

    Jaman wapendwa napenda kuchukua fursa hii kuwashkuru wote walionipigia kura na wasionipigia na my campaign managers Slave, zubedayo_mchuzi, Baba V, @st.paka mweusi, Kipipi na figganigga kufanikisha kuwa mshindi no.2. Pia nimshukuru Ruhazwe JR kwa kuratibu zoezi zima pamoja na kuwasilisha...
  2. Arabela

    Wana Jf Karibuni Tanga

    Wapenda wana Jf wenye safari ya kuja TA karibuni sana tunawasubiria sana.
  3. Arabela

    Ahsanteni sana

    Napenda kuthibitisha kupokea zawadi. Nawashukuru wote walionisupport nawapenda sana nathamini mchango wenu bila kura zenu nisingeweza kupata nafasi hii. Nawapenda sana
  4. Arabela

    Naombeni kura zenu

    Wapendwa wana chitchat naombeni kura zenu za nusu fainali mpaka fainali. Jamani tafadhalini sana tena sana nichagueni ili niwe miss chitchat wenu. Naombeni ushirikiano wenu
  5. Arabela

    Hodi hodi..

    Habari wana JF.me jaman ni mgeni ktk mji huu namben mnikaribishe
Back
Top Bottom