Search results

  1. Junglefever

    Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Nafikiri iwepo poll ya kuunga mkono Lowassa kuhamia chadema tu, bila kuwa Rais
  2. Junglefever

    Magufuli ni pombe ile ile katika chupa mpya…

    Haya ni mawazo yangu na fikira huru. Mchakato wakumpata mgombea urais kupitia CCM ulivutia sana, hata watu wakaufurahia na kuushangilia sana…ki ukweli hata mimi mwenyewe nilikua ‘carried away’. Nikajifunza mambo machache kutoka hapo: Mfumo (system) ina nguvu kubwa sana hata...
  3. Junglefever

    Kuichagua UKAWA ni sawa na kuonja sumu

    Nina shangaa sana namna unavyo fikiri...Tanganyika ilivyopata uhuru ilikua na serikali changa kabisa kuliko hata UKAWA,serikali wakati huo iliundwa kwa kuokoteza watu na mambo yalikwenda vizur tu kitu cha msingi ni kuwa na watu waadilifu na wachapa kazi...swali la msingi liwe: Je unaridhika na...
  4. Junglefever

    Please!please!, ndugu zanguni, tusipoteze focus yetu kuelekea Tanzania bora

    Ni kweli kabisa ndugu yangu,Ila magazeti hayaandiki ukweli
  5. Junglefever

    Please!please!, ndugu zanguni, tusipoteze focus yetu kuelekea Tanzania bora

    Please!please!, ndugu zanguni, tusipoteze focus yetu kuelekea Tanzania bora,misukosuko inayoendelea CHADEMA inarudisha nyuma mampambano,ndio, ni kweli kabisa,ila, misukosuko kama iyo ni ngumu kuepukika either iwe na misukumo ya ndani au nje,jinsi utakavyo itatua itaku-define wewe mbele ya watu ...
  6. Junglefever

    Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    hauoni sahani izo?au unafikiri ni zakuwekea maji ya kunywa,wana anza na starter kwanza
  7. Junglefever

    Kifo cha CCM kimetimia

    "In the future, it is possible that a Second Party will grow in Tanganyika, but in one sense such a growth would represent a failure by TANU." - Julius Kambarage Nyerere, 1968. Baada ya TANU kushindwa kutekeleza mambo iliyo waahidi Wa-Tanganyika kwa kipindi kile,ili declare failure na...
  8. Junglefever

    Walioko hatuwataki, tunaowataka hatuwaamini...

    Tanzania haiko shwari, mambo hayaendi sawa madini tunaibiwa,meno ya tembo tunaibiwa tukiuliza tunapigwa longo longo tunapotezea maisha yana kwenda sio sawa kabisa. Sera yetu iwe ni UZALENDO kwa nchi yetu,CCM isipo endana na sera yetu,tunawamwaga,watakao ingia madarakani na wao(CHADEMA)...
  9. Junglefever

    Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu; awashauri MwanaHalisi wakakate rufaa!

    kwa style hii,watu watahukumiwa kwenda jela bila kupata a fair trial mahakamani
  10. Junglefever

    Wafanya kazi TAHI wadai mafao yao, huu ni mwaka wa 9 sasa

    Sio pensheni wanadai,wanachodai ni mafao ya utumishi kutokana na miaka walio fanya kazi,golden shake hand pamoja na kiinua mgongo kama ilivyo ainishwa kwenye mikataba yao ya kazi
  11. Junglefever

    Wafanya kazi TAHI wadai mafao yao, huu ni mwaka wa 9 sasa

    wafanyakazi wa zilizokua hoteli za serekali zilizoko ngorongoro, Serengeti,Manyara, Lobo na Mafia wanaidai serekali stahiki zao halali baada ya kuachishwa kazi mwaka 2003 wakati wa ubinasfishaji wa kishenzi uliofanywa na Mkapa. Mwaka 2004 wabuge wa majimbo zilizoko hoteli izo waliiandikia PSRC...
Back
Top Bottom