Wafanya kazi TAHI wadai mafao yao, huu ni mwaka wa 9 sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanya kazi TAHI wadai mafao yao, huu ni mwaka wa 9 sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Junglefever, Aug 7, 2012.

 1. Junglefever

  Junglefever Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wafanyakazi wa zilizokua hoteli za serekali zilizoko ngorongoro, Serengeti,Manyara, Lobo na Mafia wanaidai serekali stahiki zao halali baada ya kuachishwa kazi mwaka 2003 wakati wa ubinasfishaji wa kishenzi uliofanywa na Mkapa.
  Mwaka 2004 wabuge wa majimbo zilizoko hoteli izo waliiandikia PSRC kuitaka kuwalipa wapiga kura wao,Hata Dr. Slaa alipata nakala ya hiyo barua,nafikiri hata yeye atashangaa kua hawjalipwa wanavyostahili mpaka leo,iko wapi ile serekali inayo jiita sikivu???
   
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kwani wameshafikisha miaka 55 au 60? Ili walipwe pensheni zao na mifuko ya hifadhi ya jamii?
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu tatizo lipo hapo kwenye red! Mahoteli yalibinafsishwa kishenzi, na wafanyakazi hawakulipwa kishenzi!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu umri ni kwa mafao yanayotokana na SSRA. Stahili zingine kama Severance pay hayana relation yoyote na umri
   
 5. Junglefever

  Junglefever Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sio pensheni wanadai,wanachodai ni mafao ya utumishi kutokana na miaka walio fanya kazi,golden shake hand pamoja na kiinua mgongo kama ilivyo ainishwa kwenye mikataba yao ya kazi
   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kiinua mgongo si ndiyo hicho kinacholipwa na NSSF na PPF au mimi ndiye sielewi?
   
Loading...