Dogo katika mtihani wa form 4 amepata Div.4 points 30. Amefaulu kwa kiwango cha D katika masomo haya: Kiswahili, English, Literature in English, Biology na Geography.
Huyu ana weza kusoma kozi gani? Chuo kipi? Mungu akubariki kwa ushauri wako.
Mungu anawasikiliza wanyonge. Viongozi wa dini/kiroho ni wawakilishi wa Mungu hapa Duniani, Mungu husema kupitia kwao. Usishangae Mungu kupitia viongozi hao kuwasikiliza wanyonge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.