Search results

  1. O

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    Chama cha Ccm Baada ya kulubuniwa na mtela mwampamba pia na juliana shoza kuwa wanaweza kuibomoa chadema,sasa leo mbozi mtela amuomba baba yake mzazi kupokea kadi ya ccm pia ameomba viongozi wa chama kwenda kuchukua wanachama kata za mbali,naibu katibu mkuu wa ccm "Mwigulu nchemba"anackitika...
  2. O

    M/kiti wa ccm-mkoa wa mbeya anawatumia masalia ya chadema

    Naomba ni watahadhalishe wanambeya kuwa masalia ya chadema wamekuja mbeya,JULIANA NA M.Mwampamba, Muwe makini sana wanambeya,Masalia wanafanya kazi na ccm mkoa wakiwa na katibu mwenezi ccm wa wilaya ya mbozi, Wanasema wataivuruga chadema mbeya,wanachadema Mjipange
  3. O

    Inaonekana kuwa ccm na serekari wana kiuka sheria ya uchauzi dogo,kwa kuto wapa wananchi haki yao

    chazo kimoja cha habari kimebaini kuwa serikali kwa kukilinda chama tawala inadai kuwa serikali haina pesa za chaguzi ndogo kwa madai hayo wanaipa ccm kujiandaa zaidi na kujipanga kiusalama zaidi na kuweka mabomu ya machozi ya kutosha,wakati sheria inasema kuwa jimbo,kata,kijiji,kitongoji,lisewe...
Back
Top Bottom