Kaka huyo mwanamke anaonekana hana heshima kabisa yaani bf wake afu anakutukana as if kama mmeokotana bar au disco, my friend think twice about it... over!
Kaka usidhani kama uko peke yako uwezi amini yaani karibu wanawake wote ndo wako hivyo ila usihofu ni ulimbukeni tu ndo unawafanya wawe hivyo ila baada ya muda atajiona ni mjinga na ataacha hiyo tabia!
Mimi sioni tatizo kaka kinacho-matter ni mapenzi, kwani unajua posh amemzidi beckham kwa miaka mingapi?lakini mbona mapenzi yao mpaka leo yako poa na wana watoto 3....!
Anyway nakushauri kabla ya mechi jitahidi sana kumuandaa mwenzi wako kwa kuzichezea sana sehemu zake zenye hisia and then baada ya hapo utaona mabadiliko ndugu....usihofu ni tatizo dogo 2 hilo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.