Search results

  1. M

    Kila mwanamke ninae fanya naye mapenzi, analalamika kuumwa na tumbo

    Asante sana Mkuu for good explanation I will try it
  2. M

    Kila mwanamke ninae fanya naye mapenzi, analalamika kuumwa na tumbo

    Hahahaha Hapana mkuu niya kawaida tu ila wanalalamika sana. yan naweza kusex leo kesho yake akakaa siku nzima miguu inamuuma na baadae tumbo duuh tena sina kubwa niya wastani tu
  3. M

    Kila mwanamke ninae fanya naye mapenzi, analalamika kuumwa na tumbo

    ni tatizo kubwa kivipi nisaidie please. tatizo lipo kwangu au kwao
  4. M

    Kila mwanamke ninae fanya naye mapenzi, analalamika kuumwa na tumbo

    Wapendwa wana JF, Naombeni msaada wa kitaalamu. nimefanya sex na wanawake 3 tofauti kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka jana 2015 Lakini Kila ninae sex nae baada ya siku kadhaa analalamika kuwa tumbo linamuuma sana na wote menstruation period zinabadilika. wote hao nime sex nao kwa kurudia na...
  5. M

    Rais Magufuli amteua Prof. Tibaijuka kumwakilisha ktk mkutano wa Habitat III

    PERDDIEM ALLOWANCE ATATUMIA CHENJI ZA ESCROW AU MANA SI ALISEMAGA VILE VI BILIONI VILIKUWA NI VIPESA KIDOGO TU VYA KUSAIDIA NDUGU. DUUH
  6. M

    Rais Magufuli watumbue hawa wazembe TANESCO, hawawezi kuendana na kasi yako

    Yani kablaMagufuli hajafumua baraza la mawaziri ingetakiwa Waziri wa Nishati awatumbue hawa managers wanao piga vishoka ofisini Kabla na yeye Hajatumbuliwa. Hasa Manager wa TANESCO SAME
  7. M

    Rais Magufuli watumbue hawa wazembe TANESCO, hawawezi kuendana na kasi yako

    Ndio maana tunasema hawa watu hawawezi biashara yani wanachelewesha hata quotation mtu anapesa anataka kulipa???????????? duhhh Raisi Magufuli tumbua fumua hili shirika Upya
  8. M

    Rais Magufuli watumbue hawa wazembe TANESCO, hawawezi kuendana na kasi yako

    dawa ya wapiga dili ni kuwekwa kando maana hamna namna
  9. M

    Rais Magufuli watumbue hawa wazembe TANESCO, hawawezi kuendana na kasi yako

    Mimi huku nalia mana mwaka mzima naangalia mita ambayo haifanyi kazi juu ya nguzo
  10. M

    Rais Magufuli watumbue hawa wazembe TANESCO, hawawezi kuendana na kasi yako

    inawez ekana kweli wewe ni mfanyakazi huko ngoja TCRA ikutafute na utatumbuliwa tu mana hakuna namna speed yako siyo ya mwendo kasi. Mhe Raisi Ona comment ya hili jipu
  11. M

    Rais Magufuli watumbue hawa wazembe TANESCO, hawawezi kuendana na kasi yako

    Inabidi mtumbuliwe mrudi mtaani mkazipige lakini sio kupiga kwa dhamana mliyo pewa haiwezekani mtuanafungiwa umeme mwaka mzima alafu hauwaki. that stupidity is only in TANESCO
  12. M

    Rais Magufuli watumbue hawa wazembe TANESCO, hawawezi kuendana na kasi yako

    TANESCO KUNA MIJIPU IMEIVA SANA YANI HAIWEZEKANI MTU UFUNGIWE UMEME HEWA. HAWA WANAINGIZA HASARA SERIKALI BORA YATUMBULIWE MAPEMA
Back
Top Bottom