Search results

  1. C

    Network ya tigo iko down

    Actually leo tigo wameniboa cos mpaka na tg pesa imezingua maana nlikua na miad na mtasha mpya na mid akinipigia cm 2 ndo ishu mpango, sasa watatulipa nn unadhan hawa
  2. C

    Watanganyika, ni sisi tumeing'ang'ania Zanzibar au ni wao wametuganda kama kupe?

    Nimefurahi sana uwepo wa mada hii, ila munafaham kama wakati unaongea?ikiwa mbatata, vitunguu jiulize je watu hupewa bure, munasahau hata kuipenda na kuitafuta Tanganyika, kama munadhani waznz wanaung,angania huu muungano kwanin mh kikwete hatmki km mgogoro wa kikatiba ni kutoa kiti cha umoja...
  3. C

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    We ibange, ibangi kweli yaani aibu yote ile ilomkumba ya EPA na RICHMOND dhan CCM waendelee kumueka 2, c kwa7bu hawawezi ila khofu yao CHADEMA, watakua washapata bonge la point, na km watamuweka LOWASA Ni udhaifu pia kwa CCM, Ila kwa upendeleo mwaka 2015; mgombea ni Mwanamke, nyie hamjajiuliza...
  4. C

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Nyie tabirini weee, but hiyo kutabiri kwenu mwaka huu rais wa Chama Cha Mazuzu, anatakiwa atokee visiwan kwa mujibu wa kila njia,,, sasa hapo akili kichwan mwenu mutabir vizur 2
  5. C

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Tatizo halipo kwenye waumini wa kiislamu kukataa kuhesbiwa katika sensa ya taifa bali ni tatizo lililojitokeza hivi karibun kuna mtu na ofic yake ikiwa na kalenda lenye kuonesha tatthmini ya idadi ya watanzania kwa ujumla..Eti 70%ya watanzania ni waumini wa dini ya kikristo na 30% ni waislamu...
Back
Top Bottom