Mh hivi kuna mwenye akili timamu ambaye mawazo yake yaliamini watu kama Six,),Hasira na watu kama hao wangewaza kufikiriwa katika uongozi,nawashangaa sana washauri wao.
Jamani tuwe wakweli tuachane mawazo mgando ,Wasira hafai hata kuwa house boy,sababu zipo nyingi
1.Hana haiba ya uongozi
2.Hoja anazotoa nizaenzi ya kutafuta Uhuru
3.Umri umemkengeuka
4.Hayafautishi mchele na mpunga nini(rejea ahadi aliyotoa Jangwani kuwa watalima mchele bonde la Kilombelo)...
Mvuto kwangu ulipotea alipoanza kuwateteaAlkaida wenzake kuhusu maji yetu ,namwalika aje huku Kishapu /Bariadi aone tunavyosota na maji halafu anachongoa mdomo kuwatetea hoa .
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa kitu chochote au jambo lolote lile kama ninavyofanya hivi sasa mimi au yeyote katika chombo chochote cha habari. Kinachonitia shaka ni kwa Mr. Membe alivyofanya na hii inanipa zaidi kuaangalia nafasi aliyonayo ya kuwa waziri wa mambo ya nje ambapo...
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa kitu chochote au jambo lolote lile kama ninavyofanya hivi sasa mimi au yeyote katika chombo chochote cha habari. Kinachonitia shaka ni kwa Mr. Membe alivyofanya na hii inanipa zaidi kuaangalia nafasi aliyonayo ya kuwa waziri wa mambo ya nje ambapo...
Kibogo ungekuea karibu yangu ningekupa book. Unajua huu jamaa DC ni mtu wa masifa hebu fikiria hali ya watumishi ilivyo kuwa mbaya hapo Igunga halafu uongeze zahanati 30 kwa wakati mmja . Utakuta nayo maccm yanakurupuka kuzifungua. Mwambie aende Nzega akaangalie ubora wa Zahanati...
Hoya Kibogo hicho ndio chomboa mahususi cha kutuhabarisha na kutuburudisha Wadanganyika ,bado tunapenda kusikia habari za kusadikika na alfu lela ulela
.
Hao waalimu wakutufundisha kiingeleza mbona kijijini kwetu hawapo ,shida iliyopo tunaendelea kugubikwa na ukale wa sela ,utekelezaji duni wa mipango tunanayo jiwekea kunakila sababu ya wananchi tubadilike ile twende na Dunia ilipo sasa
Ndio ameuawa na utwala wa kidhalimu Tanzania,kwani wadhalimu wanapo uwa na utawala upo hachukui hatua zozote za kudhibiti mauaji hayo basi utawala nao unakuwa umehusika katika mauaji hayo.
Jamani hebu niambieni katika Afrika hii ni wapi uliona viongozi waliopo madarakani hupenda kuachia madaraka hata pale maombo yanazidi kuwa mabaya bado nivig'ang'anizi. Hivyo si ajabu kuona hata hapa kwetu viongozi waliopo madarakani wanatumia mbinu yoyote ile kujihahakikishia wanadumu katika...
Hivi inaposemekana imeundwa timu ya ushindi ,hao walioondolewa walikuwa timu ya nini.Pia nashawishika kuamini hao maliasili wanyama ,pamoja na vipusa vinavyokamatwa kuna baraka zote za serikli ,kwani hatujajulishwa hatua zozote za kuwafahamu waliohusika inawezekana ni ile shehena ya Meno ya...
Nadhani wewe ndio unashida sana kwani Dingi alichuniwa alipotaka ukuu wa kaya,mama wakufikia akanyimwa uongozi katika jumuia ya mipasho na wewe ukapigwa buti kwenye NEC .Kwa hiyo hupaswi kuangalia nichama gani hicho
Shame upon you, wale waliopasua kichwa badala ya got walikuwa ni AMO pale Mhimbili ,mbona MD Walio wengi tunawana ni bongolala .Nadhani mtu kama wewe nihatari katika jamii kufaulisha wanafunzi ili hali hakufaulu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.