Search results

  1. D

    Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Pole sana. Hujui usemalo. Nani MUUAJI ? Aliyekomba mboga na kumwagia maji jiko la mkaa AU aliyesusa kupika ? Get deep into this issue plz.
  2. D

    Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Kaka MASLAHI kwanza. Hawakusoma ili kuja kuangalia CINEMA za wanaSIASA kugawana pesa na kumiliki MAHEKALU MBEZI NA MASAKI. Poleeeeee
  3. D

    Msitu wa pande

    Big up ! Sio kwa wasema kweli...... Ooohhh wajomba wa Mahenge, RIP, we love you. Dr Ulimboka, Get Well Soon. Mungu atawaadhibu waliohusika kwa vitebdo na hata kwa hoja, waraadhibiwa hapa Duniani na mbinguni. Wanafikiri Madaraka ndio kila kitu, wajiulize waliowatangulia mbele za haki, hawajaacha...
  4. D

    Wanaharakati wa tanzania ni hatari kwa usalama wa nchi

    Msamehe hajui asemalo. Hao ni ma- Mr Yes wa serikali tawala kama si chama tawala.
  5. D

    wageni ni zaidi ya wa Tz!

    Kesi ya nyani kapelekewa Timbuli. Unategemea nini mkuu ?
  6. D

    Hivi watu wa Mbeya ni vichwa sana?

    Mbeya IJITENGE la sivyo mtaisha. Au tupate akina SUGU mbeya yote. Kitaeleweka !
  7. D

    Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

    Ze komedy ilinunuliwa kupitia DALALI Manji wakanunuliwa na TBC. Mmesahau TBC inamwakilisha nani ? Poleni waTZ wenzangu. Mie naangalia ITVVVVVVVVVV.....DAIMA
  8. D

    "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Magazeti na radio acheni kutumia neno " Dr. Ulimboka kapigwa na watu wasiojulikana". Inatuuma saaaanaaaa kusikia tamko hilo linavyopotosha. MNATUMIKA ??
  9. D

    "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    CHADEMA mpo ?? Haya MADUDU yanayotokea kwa mpinzani wako naomba yawe njia rahisi ya ninyi kuzoa kura 2015. Mwakyembe's NOW Dr. Ulimboka PLUS ufisadi, kagoda, EPA , meremeta, report ya CAG 2012, nk nk nk haviwatoshi tu ?
  10. D

    "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Naumia sana nikisikia " dr. Ulimboka kapigwa na watu wasiojulikana". Jamani hata kama watanzania ni wajinga sana, lakini si kwa kiasi hiki. Wakuu acheni kutubeza. Aliyefanya haya anajulikana. Mnatupeleka wapi Watanzania ? Plz plz plz hatutaki siasa za mitindo hii. Tunataka ukweli!
  11. D

    "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Yeah man, jibu liko wazi....hahahaaaaa. I just pray for God to intervane.
  12. D

    ACP Hemed Msangi...

    Thats very true. Nakubaliana ma wewe, lakini hata YEYE roho yake mbaya. Au ?
  13. D

    ACP Hemed Msangi...

    Yeah man
  14. D

    ACP Hemed Msangi...

    Kamanda huyu awajibishwe bila hurumaaaaaaaaa
Back
Top Bottom