Soma sana zingatia muda na uifuate ratiba yako ipasavyo, kikubwa zaidi tengeneza ratiba ya kujisomea huku ukizipa vipaumbele courses ngumu zile rahisi usizisahau pia na cha msingi muombe sana Mungu akusaidie katika kuitekeleza na kuifuata ratiba yako ya kujisomoea mwenyewe na ile ya kufundishwa...
Ilikua muda wa saa mbili usiku, siku ya Jumapili mwaka 2009, shangazi yangu alinipigia simu akaniambia hongera sana umepata division one, nilifurahi sana nikawa na amani tele moyoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.