Search results

  1. N

    Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

    Acha uchokozi ! Mwishowe utazungumzia yule wa PhD ya kemia Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  2. N

    Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

    Kwanza reforms ikishakuwa "a lot of" inapoteza uhalisia. Kwanini isiwe tu "there are reforms going on in our ministry" Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  3. N

    A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

    Nadhani ili kumaliza kiu yako nenda Chato kalale kwenye kaburi lake angalau kwa siku 40 Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  4. N

    Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

    Unapandaje daladala na 6.4? Ungechukua usafiri mwingine. Na huko kwenye daladala ulisinzia au ilikuwaje? Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  5. N

    Benki kuu: Nchi ina fedha za kigeni za kutosha hata kama shughuli za uzalishaji zitasimama kwa miezi sita!

    Unhejifunza kwanza kuandika vizuri basi Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  6. N

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Sasa unalalamika halafu unaweka ushahidi unafuta zile sehemu muhimu za kuonyesha jinsi ulivyokatwa. Huna akili kabisa Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  7. N

    Nchi nyingi duniani zimewazuia wasafiri toka India kuingia kwenye Nchi zao, Tanzania tunasubiri nini?

    Comment ya kijinga sana ! Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  8. N

    Legacy iliyoandikwa kwa vitendo haiwezi kufutwa kwa maneno ukitaka kuifuta legacy ni lazima ukubali kuyatoa maisha yako kwaajili ya wa Tanzania maskin

    Hujui legacy ni nini umejiandikia tu kama chizi. Anyway, hebu tafuta shughuli ya kufanya ya kukuingizia kipato. Legacy ifutwe, isifutwe, haikuongezei ugali nyumbani kwako. Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  9. N

    Nashauri tupunguze idadi ya wabunge

    Haya ndo tunapaswa kujadili JF siyo masuala ya legacy ya mwendazake kila siku. Naunga mkono hoja. Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  10. N

    Kwako Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    Ni kweli alihama na timu yake kutoka PPF. Na sijui alifanya utaratibu gani kuwapatia nafasi za umeneja Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  11. N

    Wabunge wasomi endeleeni kuchutama. Msijibishane na wa darasa la saba

    Unamzungumzia Ndugai yupi? Huyu huyu anayewapongeza hao La Saba kuwa wanajenga hoja vizuri? We ushangai kila siku wanapata nafasi ya kuongea bungeni? Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  12. N

    Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

    Apitie, asipitie, haikuongezei ugali nyumbani kwako. After all hutokaa umfikie Lissu kwa lolote. Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  13. N

    Joto kwa wachimbaji Wadogowadogo

    Acha woga kijana ! Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  14. N

    Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

    Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  15. N

    Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

    Sasa kama unajua Mungu atamlipa Magufuli kelele za nini, si kaa kimya! Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  16. N

    Hatimaye Watanzania waanza tena kufuatilia taarifa za habari za TV Majumbani mwao

    Siyo uongo, Hata Mimi juzikati ndo nimeanza kucheck bulletins Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  17. N

    Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

    Acha ujinga, wakati Magufuli yupo alisema wakamfukuza Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  18. N

    Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Hivi Ndugai ameshazungumza lolote kuhusu wale "wabunge" 19 wa viti maalum wasio na chama? Akizungumza mnitag, natoka kidogo. Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
  19. N

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Acha upumbavu. Amesema aliomba hizo nyaraka Rais akakataa halafu unasema kwanini alikaa kimya! Ulitaka aende public amshukutumu Rais? Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom