Search results

  1. N

    Wabunge wa CCM na uungwaji wa hoja kwa 100%....mnadanganya bunge na watanzania.

    Ndugu unaweza ukawa msomi lakini ni wa kitabu tu,Tena ni hasara kubwa kama ulikuwa unasoma kwa kukariri au kuunga unga vyeti.Ndo maana wana umbuka sana,Na hata jamani ushauri wa kichwa chake uko miguuni,akilala unamjia na akikanyaga chini anapoteza matirio labla hapo bungeni waekewe kitu cha...
  2. N

    Mwanamke: Hata kama huzai kinakuuma nini..?

    Ndugu hatuendi hivyo,Kila kitu kina malengo,unakula hili ushibe,unavaa hili kuficha uchi,una panda mimea hili ukifika muda uvune na zaidi Hata Mungu aliyeumba dunia yeye kama yeye aliwaumba wanadamu hili waongeze nchi hata ukisoma neno lake kwenye biblia. Hivyo basi ndo maana kuna faida na...
  3. N

    Mwanamke: Hata kama huzai kinakuuma nini..?

    Jamani ndugu zangu Shikamooni na kwa vijana wa rika langu Mambo! Nimekuelewa sana,na umeelezea vya kutosha,ni wajibu nikusifu. Unajua kila kitu kina chanzo,ndiyo!! sikatai kuna wengine ni kwa sababu ya kibiologia lakini wengine wanajitakia eidha kwa kutoa mimba ambapo hapo tukiongelea zaidi...
Back
Top Bottom