Search results

  1. V

    TRA,TFDA,TBS tazameni kwa makini hii pombe ya K-Vant

    Huyu jamaa hovyo kabisa, mzigo wa tani arobani unapakia kwenye kirkou kwann kisife? Hiyo ngoma heavy weight ndo maana unashindwa vuka mizani
  2. V

    Msajili: Vyama vya Siasa vinavyopinga muswada, vinapotosha na kufanya propaganda

    kwa muswada huu wa sheria mbovu kiasi hiki kuna kila sababu ya ku-review kesi zote zilizowahi kuamuliwa na huyu jaji!!!
  3. V

    Godbless Lema: Wabunge wa CCM wana mahudhurio mazuri sana bungeni kuliko Wapinzani kwa sababu tunatofautiana majukumu kisiasa katika ujenzi wa Taifa

    Ndugai huwa ananishangaza sana ubongo wake!! SS mbunge wa viti maalumu ataachaje kuwa na mahudhurio mazuri? au waziri Jenista ataachaje kuwa na mahudhurio mazuri na huku bungeni ndo moja ya ofisi yake? Mahiga atahudhuriaje vikao over 50% na huku ni foreign minister!!
  4. V

    Mifuko imeamua kuwadhulumu watumishi kwa kutumia kalamu na kanuni

    Hii hatari sana aisee!! watunga sera na wanaozipitisha wao wakimaliza muda wao wanalipwa gratuity zao in lumpsum!!
  5. V

    Umoja wa Ulaya(EU) watoa tamko kuhusu mahusiano yake na Tanzania; kupitia upya sera zake nchini

    Bashite anajipanga aje na nyingine achafue hali ya hewa tena!!
  6. V

    Wafanyabiashara waomba kununua korosho

    Nadhani kwa maoni yangu serikali ilitakiwa ije na mkakati wa ku-subsdise bei, mwisho wa siku mkulima apate, wanunuzi wapate, ajira ziwepo (viwandani, wasafirishaji, wauza mafuta, makuli), ikusanye kodi kitaifa na ushuru wa halmashauri husika, na ipate forex!!
  7. V

    Siungi mkono ukatili lakini...

    Well said buddy!!!!
  8. V

    Rais Magufuli ni mkweli aliyepitiliza,anausema ukweli bila kujali mjadala utakaoufuata. We have the President we wanted!

    Ni mkweli aliyepitiliza au anaongea anachoamini hata km si cha kweli??
  9. V

    TBC inafunga mitambo yake leo usiku, Inakuwa TV ya kwanza na ya kisasa zaidi barani Afrika

    Watu mna mzaha nchi hii!! Eti kuwa ya kwanza ya kisasa barani Africa!!!:mad::mad::mad:
  10. V

    Mtangazaji Hassan Ngoma wa 360 Clouds TV siku nyingine usirudie tena hii ' dhihaka ' na uwe unapima maneno yako

    Mi pia jamaa nilikua simuelewi elewi, nikaacha kuangalia kipindi!!
  11. V

    Kilimanjaro: Mbaroni kwa kumbaka ajuza wa miaka 85

    85??? Watu wana hamu na jela kwelikweli
  12. V

    Tanzania(MSD), kusambaza dawa na Vifaa tiba kwenye nchi 16 za SADC

    Hawa waliozindua station wagons kwa ajili ya kusambaza dawa badala ya Light/Heavy duty Trucks?? Haya, ngoja tusubiri
  13. V

    Tanzania(MSD), kusambaza dawa na Vifaa tiba kwenye nchi 16 za SADC

    MSD?? Hiihii au wameunda nyingine??
Back
Top Bottom