Search results

  1. M

    Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

    Muelewe kama alivyosema tu mbona simple? Hayupo tayari!! Miezi 5 unaona anakuchelewesha??Wenzio walisubiri for 6 years ndo wakapewa game
  2. M

    Naomba sana mnisaidie

    Nipo katika mgogoro mkubwa katika mahusiano yangu na NINAOMBA wana MMU mnisaidie. Nisingependa kuueleza hapa kwa sababu mhusika pia ni member humu. Tafadhali mnisaidie nim PM nani na nani ambao wanaweza kunisaidia katika shida yangu hii! Sio active member sana humu ila ninaamini wapo watu wazima...
  3. M

    Sasa ustaarabu basi

    Eeeeh, dada smile iyo signature yako imeniwacha hoooi!
  4. M

    Kwa nini ndoa za siku hizi zinavunjika haraka tofauti na ndoa za zamani?

    Nimeshuhudia ndoa ya kutoa nuksi, dah! Kijana aliingia chaka kwa mdada aliyeshindikana kwao, alipoenda kutambulishwa wazazi walifurahi maana walishamchoka kumbe nae bi dada alikuwa anataka kutoa nuksi tu. Kaolewa kwa harusi ya nguvu baada ya miezi 3 wakati mume yupo kazini bibie kahama nyumba na...
  5. M

    Natafuta sugar dady wa kunilea

    Hahaha, umenikumbusha enzizile tupo chuo kuna watu jamani walikuwa na maisha ya ajabu!!!Yaani anaigiza maisha ya hali ya juu ili hali ye wa mkate na parachichi hahahaha
  6. M

    Natafuta sugar dady wa kunilea

    Humu hakuna anyekwazika ila wazazi wako wangesikia haya im sure 100% wangekwazika. Tukwazike sie kwani tulikuzaa??
  7. M

    Natafuta sugar dady wa kunilea

    Utaweza tu kwani 'wao wanaoweza wana nini hata wewe ushindwe unanini' kwa tone ya Juma Nature
  8. M

    Ya leo kali...

    Ya kawaida tu kama ya.. na y....
  9. M

    Ya leo kali...

    Sasa ningefanyaje mwwenzio? Si unajua tena macho hayanaga pazi
  10. M

    Palizi la bustani

    Ras weka picha tuone jinsi bustani yako ilivyosheheni majani na maua...
  11. M

    Madeni yanavuruga mahusiano na watu wangu wa karibu...nami kutomkopesha mtu nashindwa

    Kabisa mkuu, halafu sijui kwa nini watu wanakosa aibu!Mimi nikiwa na deni hata la buku tu kwa mtu sina amani!
  12. M

    Ya leo kali...

    Bora hawa wanaonekana wapo ufukweni
  13. M

    Ya leo kali...

    Yangu yapi sasa? Au nimekosea kumshauri mwanamke mwenzangu ajisitiri?????
  14. M

    Simuelewi huyu dada kabisa

    Mh, andikaga basi vizuri kha!!Ulikuwa unaharakisha wapi jamani?
  15. M

    Madeni yanavuruga mahusiano na watu wangu wa karibu...nami kutomkopesha mtu nashindwa

    Kwa kweli hili ni janga jamani hasa kwa sie ambao sijui niseme tuna huruma! Binafsi kama nina hela ukaja kunililia shida sikunyimi kabisa! Linapokuja suala la kurudisha urudishe tu naa usiporudisha NTAKUDAI TU! Wala sikuogopi!!! Wapo watu ambao hawawezi kumdai mtu mpaka yeye mwenyewe arudishe...
  16. M

    Ya leo kali...

    Sio rahisi kama unavyofikiria, wewe ungeweza ila mi siwezi!
  17. M

    Ya leo kali...

    Baada ya ile frem wanauza chipsi, inayofuatia kuna saloon ya kike
  18. M

    Ya leo kali...

    Sio kaka mimi dada alaaa! Halafu hivi kweli ningempigaje picha mwanamke mwenzangu jamani? Amini usiamini ni kweli nimekutana na kisa hiki leo.
Back
Top Bottom