Search results

  1. sgl94

    Accounting software

    Habari wanajamvi naomba kufahamishwa aina za software katika accounting field na kazi zinazoweza kuwa perfomed na izo software Karibuni
  2. sgl94

    TIA, IAA, MZUMBE moro na CBE dar

    TIA bado tuendelee kusubiri
  3. sgl94

    Ufahulu huu, ana vigezo vya kwenda chuo?

    Sawa kaka ntazingatia
  4. sgl94

    Ufahulu huu, ana vigezo vya kwenda chuo?

    Mtu mwenye matokeo haya anaenda chuo maana hii ni div 4 point 14 G/STUDIES - 'D' PHYSICS - 'E' CHEMISTRY - 'C' ADV/MATHS - 'C'
  5. sgl94

    Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

    Wanajamvi naombeni msaada wenu eti CAG anakaguliwa na nani?
  6. sgl94

    You need medical form from st.joseph university tanzania

    kaka naomba na mimi unitumie hiyo joining instruction tafadhari ktk sgl94@live.com nashukuru kwa medical form
  7. sgl94

    Msaada kuhusu Open University of Tanzania

    wakuu vp out wametoa selection kama ndio vp ntazionaje maana website yao haifunguki tafadhari naomba kufahamishwa kwa anaejua......asante
  8. sgl94

    Open University Selectons 2013/2014.

    :help: mkuu mbona wepsite yao haifunguki vp hayo machache nayaonaje msaada
  9. sgl94

    Open university of tanzania

    asante kwa ufafanuzi
  10. sgl94

    Open university of tanzania

    jamaa yangu yupo jeshi leo kanipigia simu nichek profile yake wamemchagulia chuo cha open unversity (bachelor of education with science) na nimeambiwa hicho chuo ni special kwa watu wanaojiendeleza tu ni kweli ? kama ni kweli haiwezekani akasoma hapo naomba kufahamishwa ni second round so ndo...
  11. sgl94

    civil engineering

    msaada wakubwa mzee wangu anadai eti civil engineering haina soko na upatikanaji wake wa ajira ni utata ya kweli haya wadau
Back
Top Bottom