Search results

  1. S

    Nyerere rudi umchape mtu viboko

    Baba wa taifa Mwalim Nyerere tungekuwa na uwezo wa kukuomba urudi walau masaa 2 ujionee nchi hii inavoendeshwa, rithishana madaraka, ulaji wa national cake hakika tunauhakika huyu wa sasa ungemchapa viboko hadharani. Huyu mtu anasemwa kila sehem ila kakaa kimya kama hayupo kabisa. NJOO UMCHAPE...
  2. S

    Lowasa ana nguvu kuliko ccm

    Lowasa ndie ataechaguliwa gombea urais bisha usibishe sisis tuliokaa jikoni ndio tunaejua na tunajua wakuu wa wilaya ambao wamechaguliwa na ccm ndio waliopewa hata hilo jukum la kuhakikisha Lowasa anakuja kupita. huoni tu kwa mtazamo wa kawaida jinsi anavojiamini, umesahau alisema washindani...
  3. S

    Taarifa kumuhusu VITA RASHID KAWAWA

    Mie napita tu jamani. Kumbe Vitta Kawaw bado ni mbunge? ndo mara ya kwanza nini kuongea bungeni toka aingie bungeni baada ya kumwangusha mzee Pius Mbawala. :smow: :mad:
Back
Top Bottom