Search results

  1. A

    Tatizo la kutokukomaa kwa mayai

    Habari zenu wana JF.. Nilienda hospitali kwa ajili ya check up.. Majibu yaliyokuja nikaambiwa mayai yangu hayakomai hivyo lazima nitumie dawa nikitaka kuconceive, nimepewa dawa lakini sijaanza kuzitumia kwa kuwa sina mpango wa kuzaa kwa sasa..Nauliza kama kuna vyakula au matunda ya kutumia zaidi...
  2. A

    Hapa kuna future kweli?

    Habari zenu wana MMU? Mimi ni dada ambaye nimepata mpenzi kama miezi mitatu hivi imepita. Kitu kinachonifanya niombe ushauri wenu ni kwamba, huyu kaka kwanza mawasiliano yake sio mazuri ni mpaka nimuanze na hata nikimtext anachukua kama masaa mawili ndio anajibu meseji.. Anajitetea kwamba yuko...
Back
Top Bottom