Search results

  1. S

    Uchaguzi Kigoma kesho: CHADEMA na NCCR Mageuzi kikaangoni

    kwa hili kweli linahitaji busara sana vinginevyo chadema na nccr mnapoteza nafasi zote makamanda kaeni chini muelewane.
  2. S

    AJIRA NA KUTOKUSUP NI KWA MWANACCM TU : dr Idahya SEKUMU.

    hilo la kweli na kuchezeshwa taarabu wakati nauli ya kwenda lushoto wamekopa. Nashangaa kuona wasomi wanatumiwa kama gunia la deki kueni na maamuzi yenu kichwani sio kisa wali na bia za bure.
  3. S

    Wachina kutegua kitendawili cha bomu Arusha, namba za bomu zimepatikana

    hapo tunaendelea kupoteza pesa za walipa kodi tuu.
  4. S

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Tunakoelekea kazi kubwa sn iko mbele yetu. Tumwombe sana Mungu aturehemu
  5. S

    CHADEMA Singida yazindua kampeni ya " ONDOA WOGA DAI HAKI YAKO"

    poa sn hiyo makamanda tuko pamoja kwenye mapambano
  6. S

    Mbunge wa CCM kisesa kama Mnyika vile

    Huyo kagundua uozo na ubadhilifu mkubwa wa mali za Umma unaofanywa na ccm
Back
Top Bottom