Search results

  1. sk2000

    Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Taarifa ya Polisi wa Iringa wanasema alijipeleka mwenyewe kituo cha Polisi. Taarifa za Polisi wa kanda maalum Dar zinasema kwamba alikuwa anaendelea na shunguli zake hadi alipokamatwa na Polisi. Basi sawa.
  2. sk2000

    Kuna Kushinda na Kushindwa; CCM Inaposhindwa Iliposhinda...

    Wenye vyeti feki vya ubunge.. Wapoo!
  3. sk2000

    Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

    Masoud Kipanya Just now · Poleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa. 'AMESAIDIA.
  4. sk2000

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Maombezi bila kutubu? Tubu tu hakuna namna.
  5. sk2000

    Askofu Kakobe amesimamia neno

    Naye akawaambia ''Tubuni mpate ondoleo la dhambi''... Hapo ndipo seke seke lilipopamba moto.
  6. sk2000

    Viongozi acheni mchezo na wananchi vyuma vimekaza kwelikweli

    Msema kweli mpenzi wa Mungu. Vimekaza havijakaza?
  7. sk2000

    Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Chato again. Dad is coming
  8. sk2000

    SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Nitakuwa simdai tena konda chenji 50 50 zangu. Maana nikisema "Wewe konda nipe chenzi yangu usawa mgumu vyuma vimekazaa kila siku afadhali ya jana" Hilo ni kosa ki Sumatra.
  9. sk2000

    Maoni ya Viongozi mbalimbali wa Upinzani kufuatia Uteuzi Uliofanywa na Rais Magufuli leo 26/10

    Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani. Na apangae ni sizonje.
  10. sk2000

    Watanzania tukosoane kwa nia ya kujenga na sio kubomoa- Clouds 360

    Tutajie na makundi ya wasifiaji.
  11. sk2000

    IKULU: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Dk. Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

    Tunabana matumizi ya kodi za watanzania. Mheshimiwa atagawa pipi.
  12. sk2000

    Askofu Niwemugizi asema yuko tayari kuitwa mchochezi

    Asante baba Askofu Mzalendo. Umechagua fungu lililo jema.
Back
Top Bottom