Search results

  1. A

    Arusha: Nassari, Heche na Bananga wahojiwa na polisi

    Dogo Janja na vijana 500 kama yeye wangepatikana wangeshatangaza Jamuhuri ya kaskazini. Nukuu ya dogo NMC jana
  2. A

    M4C inaweza kuwa kuipeleka CDM Ikulu?

    Hakuna gamba hapa. Na kama tunataka kwenda mbele na kuvuka salama lazima tujitofautishe na hawa magamba ambao hawana wala hawataki kuulizwa na kama tutaendelea na hii tabia ya kuogopa kuhojiwa then what is the different then?
  3. A

    M4C inaweza kuwa kuipeleka CDM Ikulu?

    Tatizo siyo kuondoka kabla kwani hata kiwango kilichopatikana jana kilitangazwa hata wale wasiyokuwepo wanajua kiasi gani kilipatika. Pale Naura Spring kilitangazwa pia kwa maana hiyo kila mdau anajua. Hoja yangu hapa siyo tu kilichopatikana ila matumzi pia yanatakiwa kuwa wazi. Tofauti na...
  4. A

    M4C inaweza kuwa kuipeleka CDM Ikulu?

    Wadau JF. Napenda kutoa changamoto ili kuweza kupata mawazo chanya juu ya mustakali wa chama chetu tukipendacho. Moja ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza sana ni jambo la uwazi na uwajibikaji ambao chama chetu kimekuwa kikipambana nacho kwa maisha yake. M4C ni wazo zuri sana hasa...
Back
Top Bottom