Search results

  1. M

    Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Halafu tuwe na kumbukumbu.Malawi waliathiriwa na kimbunga, serikali yetu ilipeleka huko tani 90,000 za mahindi, mahema,mablanketi,gari ya wagonjwa,ambulance, karakana ya magari yanayotembea,malori na helikopta 2. Huku tumeanza kuona viongozi wakienda kutoa pole ,sawa lakini wafanye zaidi maana...
  2. M

    Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kama mwananchi niliyekuwa nikifuatilia hoja kwenye mitandao ninauliza; Wanaosemekana kupata pesa toka kwa mwarabu wameshawarudishia pesa yao?. Mkataba wa IGA umefutwa?(Ili baada ya kushinda zabuni uandikwe wenye maslahi kwa pande zote) Sijui Tamko la TEC lilieleweka au hoja zimepuuzwa na...
  3. M

    Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Kama kuna habari kuwa ameshalipwa madeni yake na ya kuwa kwa sasa atakuwa anadai zaidi. Hatujui ukweli uko wapi labda aseme mwenyewe ila kama ni kweli nadhani anahitaji mshauri wa fedha amsaidie kumshauri namna ya kuwekeza huko aliko anakokuita "nyumbani" ili pesa isiishe kabisa. Sent from my...
  4. M

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Nadhani watu wanaopashwa kutoa maoni yao ni wale wanaopata kima cha chini cha mshahara maana ndiyo waliopata nyongeza hiyo kwa 23.3%. Bahati mbaya sijui kima cha chini ni kiasi gani ila kwa anayepokea shs 400,000 nyongeza itakuwa ni shs 93,200.
  5. M

    Mwigulu: Cement bei juu kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi

    This is too much. Kuna mali ghafi gani ya cementi inayotoka nje? Au umeme? Huku ni kututukana.
  6. M

    Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiongozwa kidemokrasia

    Kwani kiongozi mwenye maamuzi magumu hapatikani kwenye nchi yenye demokrasia? Nchi za magharibi zimewezaje? Na maamuzi magumu unayozungumzia ndiyo yapi? Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  7. M

    Barabara ya njia nane- Dar - Kibaha yakwama. Serikali yakanusha

    Kazi iliyobaki naiona si kubwa sana lakini muhimu sana. Busara zielekeze basi serikali kutoa pesa mapema mradi ukamilike. Hivi kile kipande cha barabara toka stendi ya Mabasi hadi barabara ya Morogoro imeshindikana kuweka lami hadi masika yaje? Au vipaumbele vinabadilika,halafu kwa faida ya...
  8. M

    Kundi la Mwigulu linajipanga Uchaguzi mwaka 2025. Mwigulu anatumia nafasi hii Kushusha Umaarufu wa Rais Samia

    Sidhani kama atakusikia au kufuata ushauri wako maana hadi sasa hivi alitakiwa kuwa amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri akamtoa kabisa baada ya kusema watu wahamie Burundi alikotoka kutembelea. Tusubiri tuone hii leadership style itamfikisha wapi! Sent from my SM-A505F using JamiiForums...
  9. M

    #COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Ninavyojua ni kuwa hakuna "dawa" ya corona mpaka sasa. Kirusi hiki hakina kinga au dawa zaidi ya kinga ya mwili wako na ndiyo maana ya chakula bora, virutubisho, mazoezi na kujikinga ( barakoa, social distancing, kunawa kwa sabuni au sanitizer) na kupunguza viral load kwa kufukiza au kusukutua...
  10. M

    #COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Uganda waliambiwa Mungu ana kazi nyingi za kufanya.Tanzania pekee dunia nzima ndiyo iliweka imani katika Mungu na kumuomba na tukafanikiwa kwa hiyo tusibeze. Huku kwenda na dunia ni kuzipata pesa zao tu wanazotoa lakini tiba ni kufuata ushauri wa kisayansi na kumuomba Mungu tu. Sent from my...
  11. M

    #COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Kuna kitu kinaitwa "Lateral thinking", kinadai kuheshimu mawazo tofauti na ya kwako. Huyo mbunge ana hoja!. Chanjo za Astrazeneca na Johnson Johnson zote zina matatizo ya kusababisha damu kuganda;hazifai lakini pia hazihitaji kuhifadhiwa kwenye baridi kali pengine ndiyo sababu Astrazeneca ndizo...
  12. M

    Tusiligeuze Taifa letu kuwa la wamachinga, huu ni mtego mbaya wa umaskini

    Taasisi ya urais iache mambo ya kutumbua tumbua sijui kwa ajili ya nini. Ujumbe unaotumwa ni kuwa viongozi sasa hawatafanya maamuzi kwa kuogopa kutumbuliwa. Unaweza kukuta hawa waliotenguliwa Morogoro walijitoa sana kwa chama chao halafu kosa dogo likawatoa. Kushughulika na machinga ni hatari...
  13. M

    Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu afubaze virusi hivyo na dunia nzima ijue kuwa kuna nchi inamtegemea Mungu ambaye wao wamemsahau na kumpuuza kwa maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Ila tahadhari pia ni muhimu. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  14. M

    Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Inawezekana huyo mke wa Bill Gates hakumaanisha variant ya sasa. Inawezekana wengi ni vijana wasidhurike ila wazazi wao na walio na magonjwa nyemelezi, bibi na babu kama wako karibu. Pia inawezekana miili yao imeshapata kinga. Ndiyo maana nasema tusubiri.Inaweza kuwa ni recipe nzuri ya...
  15. M

    Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Nadhani namna yetu ya kufikiri ni kufanya maamuzi ni ya ajabu sana. Tungoje wiki tatu zijazo tuone itakuwaje. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  16. M

    Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

    Aanze na kumshauri Raisi kujikinga na kuwakinga wengine na maambukizi ya korona. Taifa lijiunge na dunia katika kupambana na Janga hili. Tusipofanya hivi tutakuwa tunakipa kirusi uwanja wa kutoa variants na pengine kufanya chanjo zilizopo kuwa useless. Ukicheza na kirusi nacho kitakuchezea...
  17. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Afuate katiba iliyopo, afanye marekebisho ya katiba, aweke tume huru ya uchaguzi, afuate sera sahihi za uchumi kuleta hali bora ya maisha kwa wananchi wengi,aendeleze na kumalizia miradi yote iliyopo. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  18. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Anapoangalia wa kumpendekeza kuwa makamu wake wa Raisi aangalie miaka 5 hadi 10 mbele huyo mtu kama atatufaa kama taifa na siyo makundi. Pili awe ni mtu asiye na skandali ya aina yeyote, wizi, uzinzi na uasherati,uuaji,dhuluma, mdomo mchafu n.k. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  19. M

    IKULU, DAR: Mama Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huyu Mama ni msomi na ni mzoefu wa uongozi. Ameshaapa kuilinda na kufuata katiba pia amerekebisha kwenye maombolezo kutoka siku 14 hadi siku 21 kadiri ya katiba ya JMT. Yuko vizuri tumpe nafasi tu kwanza afanye uteuzi wake wote, wa kuwanyoyoa na kuwaingiza katika mfumo halafu tupime baada ya...
  20. M

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Mizengo Pinda mwenye miaka 72 ateuliwe na awe chini ya Raisi mwenye miaka 61! . Kati ya watanzania zaidi ya milioni 20 na zaidi walio watu wazima amekosekana mtu wa kuteuliwa kuwa makamu wa Raisi eti akafuatwe mstaafu!. Hata kama ni kampeni naona haina macho au namna ya kufikiri iko tofauti kidogo.
Back
Top Bottom