Mbatia yupo sahihi kukataa uteuzi huo, haiwezekani utafiti wake wa miaka na miaka ukataliwe na serikali then leo wampe wiki sita kupata majawabu ambayo anayo tayari. Huu ni utumiaji mbaya wa fedha za umma, wacha wenye njaa wakachakachue majibu yao. Kama wako fair Waziri awajibike kwanza then...
Tundu Lisu ni mwana mazingira na ndio maana wamemwita, anamiliki NGO' ya maswala ya mazingira inayoitwa Lawyer's Environmental Action Team (LEAT) so tutegemee mjadala mzuri kuhusu shera za mazingira na mamlaka ya Waziri wa Mazingira na NEMC.
Vyama vyote vya siasa haviwezi kukwepa muundo huo, ni lazima iwe hivyo ili pawepo na Democrasia zaidi kuliko kutegemea organ moja kufanya maamuzi kwa kisingizio cha gharama. Nadhani umenipata!
Ile chenji ya Rada ndo ingelipa deni la walimu na si kutudanganya wamepeleka kununulia pembejeo ambazo hazionekani huko vijijini; swala la madaktari haliwezi kutibiwa kwa kwenda mahakamani, yaani kwa wenye akili tushajua mahakama itatoa uamuzi gani. Kamati ya bunge ya afya ilishauri swala hili...
PENDEKEZO HEADING YA GAZETI LA UHURU KESHO:
Lusinde awachachafya CHADEMA; Ahoji Mbowe kutumia shangingi alilolikataa, aifananisha bajeti yao na ndoto za mchana! Mnyika atolewa kwa aibu bungeni! Wabunge wengi waiunga mkono bajeti, serikali yasema bajeti hii ni ya kuigwa Africa!!!!!!!
We hijawahi kuona refa anatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu mojawapo uwanjani then akijishtukia aliboronga anasawazisha kwa kutoa penati kwa timu pinzani? Kwa kifupi hakuwa fair kwa kuwaacha Lusinde na Nchemba waliotukana jana na leo bila ya kuwaadhibu; Hii siyo mara ya kwanza Spika...
Wale waleeeee!!! Mkikosa mkubali kushindwa na siyo kuulizia dini yao au kabila zao! Haya ndo mambo nisiyotaka kabsaa!
Jipange sawa sawa, mwombe mungu pia na kama una vigezo utapata; me nilishaitwa pale mara mbili na nikakosa na niliridhika na kutopata. Haya mambo bana!!!!
Yaani kama kila safari inagharimu bilioni mbili au zinazokaribia ni kwanini cdm wasilalamike? Coz kama anatumia bilioni 2 kutafuta bilioni moja na nusu tena za kuahidiwa kwa masharti hiyo si ni biashara kichaa? Mambo mengine si mpaka cdm waseme; huu ni uhujumu uchumi kabsaaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.