Search results

  1. H

    Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Lowassa lowassa lowassa hoyeee! Safari hii liwalo na liwe na tutahakikisha vibaraka wenu enu wte hawatushndi katika safari yetu ya maumaini.watanzania umechoka kuchaguliwa rais safari hii ama zao au ama zetu.htutaki ujinga tena.
  2. H

    Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Mbona Edward Sambai unahangaika sana na jambo lisilo kuhusu? Kila mtu ana haki ya kufanya jambo lolote lile bila kuvunja sharia.Sasa dada yetu Bahati Bukuku kaamua kwa moyo safi kabisa kumtungiwa wimbo murua Mh.Edward Ngoyai Lowasa akimsifia kwa mazuri yote anayoyafanya kwa jamii yetu ya...
  3. H

    Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Mungu mbariki Lowasa ili wenye chuki nae wajiangamize wenyewe kwa wenyewe
  4. H

    Lowassa atumia zaidi ya Sh. milioni 500 ili ashinde Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika Jamii

    Mlikuja na hoja ya Ugonjwa mmeshindwa sasa mnaendelea kulialia nini? Tulieni sisi watanzania tufanye maamuzi sahihi mwaka huu tumechokwa kuchagua watu wa kubebwabebwa kwani wanaidhoofisha sana nchi yetu.LOWASSA ndio mpango mzima kwa sasa ili Taifa letu lisonge mbele.
  5. H

    Lowassa atumia zaidi ya Sh. milioni 500 ili ashinde Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika Jamii

    Kwani mna hangaika sana na Lowassa? Kama hampendi ashinde hiyo Tuzo si make chini mpige kura zenu kwa hao mnaowapenda? Sisi watanzania tunampenda na kumjali sana Mh LOWASSA na tunaendelea kipiga kura nyingi mpaka jioni.
  6. H

    Lowassa atumia zaidi ya Sh. milioni 500 ili ashinde Tuzo ya Mwanasiasa mwenye Mafanikio katika Jamii

    Nashukuru umetumbusha na sisi tulikuwa hatuna taarifa ya kumpigia kura Mzee wetu Edward Ngoyai Lowasa.Sasa hivi nimetuma msg nane za MM 13 ili ashinde maanahakuna zaidi yake.
  7. H

    Msimamo wa Rais Kikwete Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaichanganya kambi ya uraisi ya Mafisadi.

    Mkuu acha kutumika.Tumia akili zako mwenyewe! Unahangaika kutaja mambo bila kutoa maelezo ya kina.Safari hii naona wagombea wenu hawauziki sana ndio maana mmebaki kulalamika tu.
  8. H

    Mzee Makamba apingwa Bumbuli

    Naona team Membe mmeanza kutunga tunga uongo! Wiki mbili zilizopita mlikuja na ka heading fulani hivi mkitaka kumchonganisha Mzee Makamba na Mh.Wakawashtukia sasa mmekuja kwa mwanvuli wa Bakwata.Poleni sana.
  9. H

    Diallo amlipua Lowassa

    Kwa kweli EDWARD NGOYAI LOWASA inaonekana ni tishio sanandani ya Chama cha Mapinduzi.Maana mh Lowasa toka amesema safari yamatumaini kwa watanzania inakaribia wale wote waliokuwa na nia ya kuwanianafasi ya kupitishwa kugombea Uraisi kwa tiketi ya CCM pamoja na wapambe waowalianza vilio na...
  10. H

    Membe kumchonganisha Lowassa na familia ya rais haitakusaidia wewe kuchaguliwa kuwa mgombea wa CCM

    Kwa kweli EDWARD NGOYAI LOWASA inaonekana ni tishio sanandani ya Chama cha Mapinduzi.Maana mh Lowasa toka amesema safari yamatumaini kwa watanzania inakaribia wale wote waliokuwa na nia ya kuwanianafasi ya kupitishwa kugombea Uraisi kwa tiketi ya CCM pamoja na wapambe waowalianza vilio na...
  11. H

    Bernad Camillius MEMBE ndiye RAIS WA TZ 2015

    Safari ya matumaini inakaribia.Tulifurahi pamoja,Tulihuzunika pamoja na Tutashinda pamoja!
  12. H

    Diallo amlipua Lowassa

    Ndugu zangu kuna kitu nimeanza kujifunza na kukielewavizuri, na ukikiangalia au kukifuatilia kwa umakini utakigundua.Wengi wa wanaompingaLowasa katika safari yake ya katumaini kwa watanzania ni wale ambao wanahisi LOWASAakiupata Urais wa nchi yetu basi wao hawatapata nafasi yoyote ya uteuzi...
  13. H

    Diallo amlipua Lowassa

    Nimekaa najiuliza hivi huyu aliyeandika hii habari ni Dialoau la?Kama kweli ni Dialo basi Rais alifanya makosa makubwa sana kumchaguaDiallo kuwa Waziri wa Nchi hii wakati ule.Pia niwapongeze wananchi wa ILEMELAkwa kumtambua na kujua uwezo mdogo wa kiuongozi alio nao na hatimae kumpigachini...
  14. H

    Nimekutana na Lowassa asubuhi hii, jamaa yupo fiti

    Safari yetu ya matumaini inakaribibia-Watashindana lakini hawatashinda mungu yuko nasi watanzania tumuombe Mungu azidi kumpa ulinzi Mh Lowasa ili aweze kutufikisha watanzania wote katika maisha yenye mafanikio makubwa.Amen
  15. H

    Kambi ya Pinda yavunjika, Masaburi ajiunga na Membe

    Watu wengine bana wanakera sana.Masaburi huyu kama angekuwa ni strategist mzuri angeshinda nafasi ya ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa kupitia Wilaya ya Ilala kati ya nafasi 5 zilizopigiwa kura na wajumbe lakini alianguka vibaya sana.Alishindwa vibaya sana kwa hiyo wala si mpiga kura katika...
  16. H

    Kambi ya Pinda yavunjika, Masaburi ajiunga na Membe

    Watu wengine bana wanakera sana.Masaburi huyu kama angekuwa ni strategist mzuri angeshinda nafasi ya ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa kupitia Wilaya ya Ilala kati ya nafasi 5 zilizopigiwa kura na wajumbe lakini alianguka vibaya sana.Alishindwa vibaya sana kwa hiyo wala si mpiga kura katika...
  17. H

    Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    Tunajianda na kusubili kwa hamu sana safari yetu ya matumaini kwani muda umekaribia na ushindi wetu wa kishindo unakaribia.Tuungane pamoja kumpokea EL rais wetu ajaye na kipenzi cha watanzania wote wenye kuitakia nchi mafanikio makubwa.Wakati wa maamuzi magumu umefika watanzania tushirikiane na...
  18. H

    Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    EL lazima awe rais wa Tanzania.Watashindana nae sana,watampaka matope sana lakini mwisho wake watashindwa na atachaguliwa kuwa rais wa nchi yetu Tanzanaia.Mungu mpe ulinzi wa hali ya juu maana wenye roho mbaya ni wengi saaana.
  19. H

    Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Jamani mbona mnahangaika sana! MH LOWASA ni zaidi ya Rais watanzania tunasubiri kumuapisha tu.Tunaomba Mungu amlinde na amkinge na waovu wote wanaotumika kumchafua.Watahangaika sanaaaa lakini Ikulu ni ya MH LOWASA.Ukitaka kujua ni jinsi gani watanzania wanampenda MH LOWASA akipitishwa tu na CCM...
  20. H

    Wiki hii ni mwanzo wa mgawanyiko wa Tanzania kwa miaka ijayo

    Endeleeni kujifariji.Wajumbe 201 na Wabunge wa CCM,Wabunge wa TLP na UDP wote hawa wamebaki ndani ya Bunge kwa ajili ya kuwaletea Katiba bora Watanzania.Sasa kwa mnaofikiri eti kutokuwapo kwa Ukawa ndio mwanzo wa Vurugu mtaishia kushangazwa tu.Hakuna mtanzania atakayekubali kufa kwa ajili ya...
Back
Top Bottom